Habari za Punde

Dk Shein azungumza na uongozi wa Wizara ya Elimu na mafunzo amali

.Baadhi ya Viongozi wa Idara mbali mbali katika ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali wakiwa katika  kikao siku moja cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017   katika  utekelezaji wa  robo mwaka ya kwanza ya  Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 18/10 /2016
   Makamo Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Zanzibar SUZA Prof.Idrissa Rai (kulia) akiwa na Viongozi katika  Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali katika  kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017   katika  utekelezaji wa  robo mwaka ya kwanza ya  Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.] 18/10 /2016.
.
 Viongozi katika Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali wakiwa katika  kikao siku moja cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017   katika  utekelezaji wa  robo mwaka ya kwanza ya  Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.] 18/10 /2016.

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali katika  kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017   katika  utekelezaji wa  robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 18/10 /2016

Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Bi.Khadija Bakari Juma (kushoto) pamoja na Viongozi wengine wakiwa katika  kikao siku moja cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017   katika  utekelezaji wa  robo mwaka ya kwanza ya  Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na Ikulu.] 18/10 /2016.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.