Habari za Punde

Mabao 35 Yatikisha Nyavu za Viwanja vya Unguja Ligi Kuu ya Zanzibar.

Jumla ya mabao 35 yameweza kufungwa kupitia michezo 18 ya ligi kuu ya soka Zanzibar kwenye viwanja vya Amaan na Fuoni kisiwani Unguja.


Hapo chini nimekuwekea wanandinga waliofanikiwa kuwaziba macho walinda milango kwenye michezo hiyo.
WAFUNGAJI – LIGI KUU YA SOKA ZANZIBAR (UNGUJA)

JINA LA MCHEZAJI
 IDADI
TIMU /KLABU
Ibrahinm Hamad  Ahmad ‘Hilika’   
3  Goals
Zimamoto
Kassim Suleiman Khamis
3  Goals
Chwaka Star
Mustafa Vuai Hassan    
2  Goals
Black Sailor
Muharami Khamis      
1  Goal
Black Sailor
Mwinyi Mbega Kassim  
1  Goal
Mundu
Mustafa Zakaria
1  Goal
Mundu
Mkadara Nahoza
1  Goal
Kimbunga
Maulid Salum
1  Goal
Kijichi
Amour Omar ‘Janja’
1  Goal
JKU
Jaku Joma Jaku
1  Goal
Mafunzo
Mustafa Khamis
1  Goal
Chuoni
Moh’d Othman Mmanga
1  Goal
Polisi
Abdalla Omar
1  Goal
Polisi
Hamis Mussa ‘Rais’
1  Goal
Jang’ombe Boys
Abubakar Mkubwa
1  Goal
Jang’ombe Boys
Bakar Thani Bakar
1  Goal
Chwaka Star
Halid  H. Ramadhan
1  Goal
Miembeni
Abdillah Seif Bausi
1  Goal
Kilimani City
Rashid Haji Ali
1  Goal
Taifa ya Jang’ombe
Mussa Suleiman
1  Goal
Kipanga
Nassor Ali
1  Goal
Kipanga
Nassor Saleh
1  Goal
Kipanga
Mohammed  Mosi
1  Goal
Malindi
Feisal Salum Abdalla
1  Goal
JKU
Abrahman Yussuf Ali
1  Goal
Jang’ombe Boys
Amour Suleiman Moh’d
1  Goal
Kijichi
Majid khamis Bakar
1  Goal
Black Sailor
Juma Mwasimba
1  Goal
Mundu
Yahya  Shaaban
1  Goal
Mundu
Sleiman Ali Sleiman
1  Goal
KVZ

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.