Habari za Punde

Timu ya Mundu Inaongoza Ligi Kuu ya Zanzibar kwa Hatua ya Mwanzo wa Ligi Hiyo.

Mashabiki wa timu ya Mundu kutoka maeneo ya Nungwi Kaskazini ya kisiwa cha Unguja wanazidi kuchekelea ushindi wa pili waliopata timu yao na kuwa timu pekee iliyovuna alama sita kufuatia kushinda michezo yao miwili iliyopita.



                                 MSIMAMO LIGI KUU YA SOKA  ZANZIBAR  2016-2017
POS
TIMU
P
W
D
L
GF
GA
GD
PTS
1
MUNDU
2
2
-
-
4
2
2
6
2
CHWAKA
2
1
1
-
4
2
2
4
3
B/ SAILOR
2
1
1
-
4
3
1
4
4
JKU
2
1
1
-
2
1
1
4
5
TAIFA J/MBE
2
1
1
-
1
-
1
4
6
KIPANGA
2
1
-
1
3
1
2
3
7
ZIMAMOTO
2
1
-
1
3
3
-
3
8
MALINDI
2
1
-
1
1
1
-
3
9
KILIMANI CITY
2
1
-
1
1
3
-2
3
10
JANG’OMBE
2
-
2
-
3
3
-
2
11
KIJICHI
2
-
2
-
2
2
-
2
12
POLISI
2
-
2
-
2
2
-
2
13
CHUONI
2
-
2
-
1
1
-
2
14
KMKM
2
-
2
-
-
-
-
2
15
KVZ
2
-
1
1
1
2
-1
1
16
MAFUNZO
2
-
1
1
1
2
-1
1
17
KIMBUNGA
2
-
-
2
1
3
-2
-
18
MIEMBENI
2
-
-
2
1
4
-3
-

Jumla ya mabao 35 yamefungwa kupitia michezo 18

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.