MATANGAZO MADOGO MADOGO

Tuesday, October 4, 2016

Madaktari bingwa kutoka T/ Bara waanza kutoa huduma Pemba

 TIMU ya Madaktari bingwa kutoka Tanzania bara, kulia ni Dkt Fat hiya Ali na Kushoto ni Dkt Rashid Mohamed Salum, wakimfanyia Upasuaji mmoja ya mama aliyehitaji huduma hiyo katika hospitali ya Chake Chake Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)