Habari za Punde

Mafunzo ya kuwajengea uwezo watoa huduma za sheria kupitia UNDP yafanyika kisiwani Pemba

 WASHIRIKI wa mafunzo ya siku tatu juu ya kuwajengea uwezo watoa huduma za kisheria, kutoka serikalini na asasi za kirai, mafunzo yalioandaliwa na wizara ya nchi afisi ya rais, katiba, sheria, utumishi wa umma na utawala bora Pemba kupitia UNDP, mafunzo yaliofanyika Makonyo Wawi Chakechake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

 AFISA Mdhamini Wizara ya Nchi Afisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala bora Pemba Massoud Ali Mohamed, akifungua mafunzo ya kuwajengea uwezo watoa huduma za kisheria kisiwani humo, yaliofadhiliwa na UNDP, na kufanyika kiwanda cha Makonyo Wawi Chakechake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

MWANASHERIA kutoka Tanzania bara dk, Cosmas akiwasilsha mada ya namna ya utoaji wa msaada wa kisheria kwa jamii, kwenye mafunzo ya kuwajengea uwezo watoa huduma hizo, kwenye mafunzo yaliofanyika kiwanda cha makonyo Wawi Chakechake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.