Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Shein Awazawadia Wanafunzi Waliofaulu Daraja la Kwanza.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Walimu na Wanafunzi wa kidato cha Nne na Sita waliopata daraja la kwanza katika Mtihani wa Taifa katika mwezi Octoba -2015 na Mei mwaka- 2016,sherehe ya kuwazawadia  wanafunzi hao  iliyofanyika leo Ikulu Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na  Wanafunzi wa kidato cha Nne na Sita waliopata daraja la kwanzakatika Mtihani wa Taifa katika mwezi Octoba -2015 na Mei mwaka- 2016,sherehe ya kuwazawadia  wanafunzi hao  iliyofanyika leo Ikulu Mjini Unguja
 Baadhi ya Walimu na Wanafunzi wa kidato cha Nne na Sita waliopata daraja la kwanza katika Mtihani wa Taifa katika mwezi Octoba -2015 na Mei mwaka- 2016,wakimsikilizaRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza nao leo katika sherehe maalum ya kuwazawadia  wanafunzi hao  iliyofanyika Ikulu Mjini Unguja
Baadhi ya Walimu na Wanafunzi wa kidato cha Nne na Sita waliopata daraja la kwanzakatika Mtihani wa Taifa katika mwezi Octoba -2015 na Mei mwaka- 2016,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza nao leo katika sherehe maalum ya kuwazawadia  wanafunzi hao  iliyofanyika Ikulu Mjini Unguja
Baadhi ya Walimu  wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Wanafunzi wa kidato cha Nne na Sita waliopata daraja la kwanza katika Mtihani wa Taifa katika mwezi Octoba -2015 na Mei mwaka- 2016, katika sherehe maalum ya kuwazawadia  wanafunzi hao  iliyofanyika leo Ikulu Mjini Unguja
Baadhi ya Wanafunzi wa kidato cha Nne na Sita waliopata daraja la kwanza katikaMtihani wa Taifa katika mwezi Octoba -2015 na Mei mwaka- 2016, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipokuwa akizungumza nao  katika sherehe maalum ya kuwazawadia iliyofanyika leoIkulu Mjini Unguja
Baadhi ya Wanafunzi wa kidato cha Nne na Sita waliopata daraja la kwanza katikaMtihani wa Taifa katika mwezi Octoba -2015 na Mei mwaka- 2016, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipokuwa akizungumza nao  katika sherehe maalum ya kuwazawadia iliyofanyika leoIkulu Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi zawadi Mwanafunzi  Mahira Baraka Hamadi wa kidato cha sita Skuli ya Biashara Mombasa Wilaya ya Magharibi Unguja  akiwa ni mwanafuzi aliyefanya vizuri  katika Mtihani wa Taifa Mei mwaka 2016,hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi zawadi Mwanafunzi  Munawara Abdull-Aziz  Salim wa kidato cha sita Skuli ya SUZA Unguja  akiwa ni mwanafuzi aliyefanya vizuri  katika Mtihani wa Taifa Mei mwaka 2016,hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi zawadi Mwanafunzi Suhayla  Hamad Abubakar wa kidato cha Nne Skuli ya Feza akiwa ni mwanafuzi aliyefanya vizuri katika Mtihani wa Taifa mwezi Octoba mwaka 2015,hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi zawadi Mwanafunzi Hamdoun Sabri Hamdoun wa kidato cha Nne Skuli ya SOS akiwa ni mwanafuzi aliyefanya vizuri katika Mtihani wa Taifa mwezi Octoba mwaka 2015,hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi zawadi Mwanafunzi Suleiman Ali Hamadi wa kidato cha sita Skuli ya Biashara ya Chasasa Pemba akiwa ni mwanafuzi aliyefanya vizuri zaidi kuliko wanafunzi wote hapa Zanzibar na ni mmoja kati ya wanafunzi kumi wa mwanzo Tanzania katika Mtihani wa Taifa mwezi mei mwaka 2016,hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 22/10/2016.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.