Habari za Punde

Taasisi ya Siti Bint Saad Yamtunuku Tunzo ya Uchangiaji Bora Muwekezaji wa Mradi wa Ujenzi wa Kijiji cha Utalii Matemwe Zanzibar.

Mwenyekiti wa Taasisi ya Siti Bint Saad, Bi Nasra Mohammed Hilal akimkabidhi Tunzo ya Mlango wa Zanzibar Mmiliki wa Kampuni ya Penny Royal inayojenga Kijiji cha Utalii Matemwe Zanzibar Bwana Brian Thomson, katika hafla iliofanyika katika viwanja wa Ofisi hiyo Mazizini Zanzibar.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Siti Bint Saad, Bi Nasra Mohammed Hilal akisalimiana na Muwekezaji wa Kijiji cha Utali Matemwe Zanzibar Bwana Brian Thomson wakati wa hafla hiyo ya kukabidhi Tunzo ya Mlango wa Zanzibar kwa Mmiliki wa Kampuni ya Penny Royal Zanzibar iliofanyika katika viwanja wa Ofisi hiyo Mazizini Zanzibar.

Mwenyekiti wa Taasisi ya Siti Bint Saad, Bi Nasra Mohammed Hilal akimkabidhi Tunzo ya Mlango wa Zanzibar Mmiliki wa Kampuni ya Penny Royal inayojenga Kijiji cha Utalii Matemwe Zanzibar Bwana Brian Thomson, katika hafla iliofanyika katika viwanja wa Ofisi hiyo Mazizini Zanzibar.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Siti Bint Saad, Bi Nasra Mohammed Hilal akimkabidhi Tunzo ya Mlango wa Zanzibar Mmiliki wa Kampuni ya Penny Royal inayojenga Kijiji cha Utalii Matemwe Zanzibar Bwana Brian Thomson, katika hafla iliofanyika katika viwanja wa Ofisi hiyo Mazizini Zanzibar.

Mmiliki wa Kampuni ya Penny Royal inayojenga Kijiji cha Utalii Matemwe Zanzibar Bwana. Brian Thomson, katika hafla iliofanyika katika viwanja wa Ofisi hiyo Mazizini Zanzibar.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Siti Bint Saad, Bi Nasra Mohammed Hilal akiwatunza kikundi cha ngoma za utamaduni kititoa burudani wakati wa hafla hiyo ya kukabidhi Tunzo ya Mlango wa Zanzibar kwa Mmiliki wa Kampuni ya Penny Royal inayojenga Kijiji cha Utalii Matemwe Zanzibar Bwana Brian Thomson, katika hafla iliofanyika katika viwanja wa Ofisi hiyo Mazizini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.