TATIZO la Ukosefu wa Huduma ya Maji Safi na salama
ni muhimu kwa wananchi wote, pichani wananchi wa shehia ya Sizini Wilaya ya
Micheweni, wakiteka maji katika kisima baada ya kukosa huduma hiyo ya Maji.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
RAIS WA ZANZIBAR, AMEFUNGUA KAMBI YA MATIBABU NA UCHUNGUZI WA AFYA YA
KUMUENZI HAYATI ALI HASSAN MWINYI
-
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali
Mwinyi akijumuika na Viongozi wa Serikali, Familia na Wananchi katika
kumuombe...
48 minutes ago
No comments:
Post a Comment