LICHA ya Mvua kutokunyesha kwa kipindi kirefu
Kisiwani Pemba, lakini sio sababu ya Baraza la Mji Chake Chake kushindwa
kuzizoa takataka zilizoko katika Dampo la Machomanne, pichani takataka hizo
zikiwa zimetawanyika kwa kushindwa kuzoelewa zikiwa na zaidi ya mwezi mmoja
sasa.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
TARI Yahimiza Matumizi ya Kilimo Hifadhi
-
Na Mwandishi Wetu ,Dodoma
TAASISI ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) imetoa wito kwa wadau wa
Kilimo kufanya shughuli za kilimo chenye tija ambacho kinaz...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment