Saturday, October 8, 2016

Zanzibar Ni Njema

Watalii wanaotembelea Zanzibar wakiwa katika ufukwe wa pwani ya forodhani wakijiandaa kuelekea katika kisiwa cha changuu kwa ajili kutembelea kisiwa hicho kujionea historia ya kisiwa hicho. Zanzibar ikiwa na vivutio vingi vya Utalii. 

No comments:
Write Maoni