Habari za Punde

Bidhaa Bila ya Kujali Matumizi ya Mnunuzi.

Baadhi ya Wafanyabiashara bila ya kujua athari ya matumizi ya bidhaa hizo kama inavyoonekana pichani mfanyabiaashara huyu akiwa amechanganya bidhaa hizo kukiwa na dawa za sumu ya panya na dawa za misuwaki zikiwa pamoja hii inaweza kuleta athari kwa mnunuzi. Inahitajika kutowa elimu kwa wafanyabiashara wa bidhaa za athari kwa binadamu kuweza kuzitenga tafauti na bidhaa za vyakula.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.