Habari za Punde

Jumuiya ya JUKAMKUM yaandaa mafunzo maalum kwa vijana wa Wilaya ya Chakechake

 VIJANA 100 kutoka Wilaya ya Chake Chake wakifuatia ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu, yaliyoandaliwa na Jumuiya ya JUKAMKUM huko katika skuli ya Madungu maandalizi Chake Chake Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 MWENYEKITI wa Jumuiya ya JUKAMKUM Chake Chake Pemba, Hassan Abdalla Rashid, akizungumza na vijana 100 mara baada ya kufunguliwa kwa mafunzo hayo huko katika Ukumbi wa Skuli ya Madungu Maandalizi Chake Chake Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

AFISA Mdhamini Ofisi ya Rais Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala bora Pemba, Massoud Ali Mohamed akifungua mafunzo ya siku tatu kwa vijana 100 kutoka Wilaya ya Chake Chake, yaliyoandaliwa na Jumuiya ya JUKAMKUM kwa ufadhili wa the Foundation for civil Society.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.