Habari za Punde

Kazi ni Kazi almuradi si haramu!

‘KUMEKUCHA’ Mburura mkokoteni katika eneo la bandarini Mkoani Pemba, akiyasafirisha madumu matupu ya mafuta kupikia, ikiwa ni sehemu ya kazi yake ya kujipatia kipato cha halali kila siku, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.