Habari za Punde

Kikao cha Kamati ya Kuwaenzi Viongozi wa Kitaifa.

Mwenyekiti wa Kamati ya kuwaenzi Viongozi wa Kitaifa ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar Jimbo la Konde Mh. Omar Seif Abeid wa Pili kutoka Kushoto akizungumza katika Kikao kilichowakutanisha Wajumbe wa Kamati hiyo pamoja na Uongozi wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.

Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Vuga Mjini Zanzibar.
Wa kwanza kutoka kushoto ni Waziri Ofisi ya Makamu wa Pili wa 

Rais wa Zanzibar Mheshimiwa Mohammed Aboud Mohammed, wa kwanza kutoka kulia ni Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo Nd. Joseph Abdulla Meza, Naibu Katibu Mkuu Ahmad Kassim Haji na Mkurugenzi Mipango, Sera na Utafiti - OMPR - Nd. Ameir Ussi.

Picha na – OPMR – ZNZ. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.