MWANASHERIA kutoka Tume ya Kurekebisha Sheria Zanzibar Mohamed Ali Ahmed, akiwasilisha marekebisho ya sheria ya usajili wa nyaraka ya mwaka ya 1919, kwenye mkutano uliofanyika ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Mkoani Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
WAKILI wa kujitegemea Pemba Zahran Mohamed Yussuf akichangia marekebisho ya sheria ya usajili wa nyaraka ya mwaka 1919, kwenye mkutano wa kuzifanyia mapitio sheria hiyo, uliofanyika Ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Mkoani Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
WADAU wa sheria kutoka wilaya ya Wete Pemba, wakiwa kwenye mkutano wa mapitio ya sheria za usajili wa nyaraka ya mwaka na ile ya uharibifu wa mazao ya mwaka 1919, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
No comments:
Post a Comment