Habari za Punde

Mlinzi wa Azam Arejea Nyumbani.

Aliyekuwa mlinzi wa Azam, Pascal Wawa amerejea katika klabu yake ya zamani ya Al Merreikh ya Sudan.
Wawa amejiunga Al Merreikh kwa mkataba wa miaka miwili baada ya kuachwa na Azam.
Inadaiwa Wawa hakuwa na maelewano na kocha wa sasa wa Azam hivyo kupelekea uamuzi wa kuachana naye.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.