Habari za Punde

Rais DK Shein azungumza na ujumbe kutoka Norway Ikulu

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Kiongozi wa Ujumbe kutoka Nchini Norway  Bw.Eivind  Hansen,Ofisa Mtendaji Mkuu kutoka Chuo Kikuu cha Haukeland akiwa na ujumbe aliofutana nao walipofika Ikulu Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 10/11/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Dk.Hallvard Reigstad, Mkuu wa Idara ya Watoto kutoka Hospitali ya  Haukeland  Nchini Norway akiwa ni miongoni mwa Ujumbe kutoka Nchini Norway uliofika Ikulu Mjini Unguja leo ,[Picha na Ikulu.] 10/11/2016.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Ujumbe kutoka Nchini Norway ukiongozwa na  Bw.Eivind  Hansen, Ofisa Mtendaji Mkuu kutoka Chuo Kikuu cha Haukeland (wa pili kulia)  walipofika Ikulu Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 10/11/2016. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Kiongozi wa Ujumbe kutoka Nchini Norway  Bw.Eivind  Hansen,Ofisa Mtendaji Mkuu kutoka Chuo Kikuu cha Haukeland akiwa na ujumbe aliofutana nao walipofika Ikulu Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 10/11/2016.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.