Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
kumkaribisha Makamu Mwenyekiti wa Kamisheni kuu ya Ulinzi ya Jeshi la Ukombozi
la Watu wa China Jenerali Fan Changlong mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar
es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimtambulisha Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi
Jenerali Davis Mwamunyange kwa mgeni wake Makamu Mwenyekiti wa Kamisheni kuu ya
Ulinzi ya Jeshi la Ukombozi la Watu wa China Jenerali Fan Changlong mara baada
ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru mgeni wake Makamu Mwenyekiti
wa Kamisheni kuu ya Ulinzi ya Jeshi la Ukombozi la Watu wa China (PLA) Jenerali
Fan Changlong mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na
mgeni wake Makamu Mwenyekiti wa Kamisheni kuu ya Ulinzi ya Jeshi la
Ukombozi la Watu wa China (PLA) Jenerali Fan Changlong wakati wakelekea kwenye
ukumbi wa mikutano Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na ujumbe wake akiongoza mazungumzo
rasmi na Makamu Mwenyekiti wa Kamisheni kuu ya Ulinzi ya Jeshi la Ukombozi la
Watu wa China (PLA) Jenerali Fan Changlong aliyeambatana pia na ujumbe wake
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na mgeni
wake Makamu Mwenyekiti wa Kamisheni kuu
ya Ulinzi ya Jeshi la Ukombozi la Watu wa China (PLA) Jenerali Fan Changlong
mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam. Wengine
katika picha ni Maafisa wa ngazi za juu wa Jeshi la Watu wa China(PLA) pamoja
na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).

wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na mgeni wake Makamu Mwenyekiti
wa Kamisheni kuu ya Ulinzi ya Jeshi la Ukombozi la Watu wa China (PLA) Jenerali
Fan Changlong Ikulu jijini Dar es Salaam.

wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi
Jenerali Davis Mwamunyange Ikulu jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha ni
Maafisa wa ngazi za juu katika Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ.(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment