Habari za Punde

Rais wa Zanzibar Dk.Shein Atembelea Mradi wa Uenzi wa Halmashauri ya Micheweni Pemba.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali mara alipowasili katika viwanja vya Jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Micheweni leo alipotembelea ujenzi wa jengo hilo akiwa katika ziara ya kuzindua miradi ya maendeleo katika Mikoa ya Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akipata maelezo kutoka kwa Nd,Nassor Ali Nassor Mchoraji wa ramani katika kampuni ya United Construction LTD,(katikati) wakati alipotembelea jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Micheweni leo akiwa katika ziara ya kuzindua miradi ya maendeleo katika Mikoa ya Pemba,(kushoto)Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe,Haji Omar Kheir.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizumngumza na wananchi na Viongozi alipotembelea ujenzi wa jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Micheweni leo akiwa katika ziara ya kuzindua miradi ya maendeleo katika Mikoa ya Pemba,(katikati) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe,Omar Othman Khamis na (kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe,Haji Omar Kheir. 
Baadhi ya wananchi wa Micheweni Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) wakati alipozungumza na wanannchi hao wakati alipotembelea ujenzi wa jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Micheweni leo akiwa katika ziara ya kuzindua miradi ya maendeleo katika Mikoa ya Pemba
Baadhi ya wananchi wa Micheweni Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) wakati alipozungumza na wanannchi hao wakati alipotembelea ujenzi wa jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Micheweni leo akiwa katika ziara ya kuzindua miradi ya maendeleo katika Mikoa ya Pemba, [Picha na Ikulu.] 06 Nov 2016.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.