Habari za Punde

Ujumbe wa Kibiashara kutoka Uholanzi watembelea ZSTC


Mkurugenzi masoko katika shirika la ZSTC Salum Abdalla akizungumza na Ujumbe wa Kibiashara kutoka Uholanzi ambao umewasili Zanzibar kwa Ziara ya Siku Tatu hapo ofisni kwake Maisara Zanzibar.
 Ujumbe wa Kibiashara kutoka Uholanzi Ukiwa katika Picha ya pamoja baada ya kumaliza mazungumzo na Mkurugenzi masoko katika shirika la ZSTC, Salum Abdalla hapo ofisini kwake Maisara Mjini Zanzibar.
 Ujumbe wa kibiashara kutoka Uholanzi wakiangalia namna ya Usafishaji wa Karafuu katika Ghala lililokuwepo kwa Abasi Huseni Mjini Zanizbar.
 Ujumbe wa Kibiashara kutoka Uholanzi ukitembelea katika Ghala la Karafuu lililokuwepo Malindi Zanzibar na kujionea uchambuaji wa karafuu na mashine za Usafishaji.
Ujumbe wa Kibiashara kutoka Uholanzi wakiangalia mashine maalum ya kusafishia karafuu katika Ghala la Malindi mjini Zanzibar.(Picha na Yussuf Simai, Maelezo Zanzibar.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.