Habari za Punde

Wanajumuiya ya Chumbageni Pemba Wakiwa katika Mafunzo

Wanajumuiya ya Maendeleo na Kupunguza Umaskini Shehia ya Chumbagneni  (CHADEPORE) Wilaya ya Mkoani Pemba, wakiwa katika magrupu wakijadilini jambo kwenye mkutano wa kuchagua kamati ndogo ndogo tano za Jumuia hiyo, Mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa hospitali ya Wambaa Mkoani Pemba.(Picha kwa hisani ya CHADEPORE) 
 Vijana wa Jumuiya ya CHADEPORE) Pemba wakiwa katika vikundi kujadiliana mikakati ya jumuiya yao wakati wa mkutano wao uliofanyika katika ukumbi wa hospitali ya wambaa mkoani Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.