Habari za Punde

Nape Nnauye Awapongeza TBN kwa Upashaji wa Habari.

Waziri wa Habari Utamaduni Michezi Mhe Nape Nnauye, akiwasili katika ukumbi wa mkutano mkuu wa TBN kwa ajili ya kufunga mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa jengo la Mfuko wa PSPF Dar es Salaam.
Waendeshaji wa mitandao ya kijamii (bloggers) wakipiga picha ya Selfie na Waziri wa habari na Uenezi mara baada ya kufunga kongamano la mkutano mkuu wa mwaka wa Tanzania Network (TBN) jijini Dar es Salaam leo

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.