Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akimpa pole Bi
Mugwe Mbabe ambaye ni Mke mkubwa wa Marehemu Mzee Maarufu Admirabilis Mbabe
Manyama(82) mara baada ya kuwasili nyumbani kwa marehemu Chato mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akimpa pole Bi. Regina Mbabe mke mdogo wa Marehemu Mzee
Maarufu Admirabilis Mbabe (82) Manyama mara baada ya kuwasili nyumbani kwa
marehemu Chato mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
Deodatus Manyama wakwanza (kushoto) ambaye ni mdogo wa marehemu Marehemu Mzee
Admirabilis Mbabe Manyama(82) mara baada ya kuwasili nyumbani kwa Marehemu
Chato mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akizungumza na Bi. Mugwe Mbabe mke mkubwa wa Marehemu Mzee
Admirabilis Mbabe Manyama mara baada ya kuwasili nyumbani kwa marehemu Chato
mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akisaini daftari la maombolezo mara baada ya kuwasili
nyumbani kwa marehemu Mzee Admirabilis Mbabe Manyama (82) Chato mkoani Geita
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akisaini daftari la maombolezo mara baada ya kuwasili
nyumbani kwa marehemu Mzee Admirabilis Mbabe Manyama (82) Chato mkoani Geita
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
kutoa pole katika msiba huo wa Marehemu Mzee Admirabilis Mbabe Manyama mara
baada ya kuwasili nyumbani kwake Chato mkoani Geita
Mdogo wa Marehemu Deodatus Manyama kimshukuru
Rais Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kuwapa pole na kuwafariji kufuatia msiba wa Mpendwa wao
Marehemu Mzee Admirabilis Mbabe Manyama
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiagana na wafiwa katika msiba huo Chato mkoani Geita.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiondoka msibani
mara baada ya kutoa pole. Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment