Habari za Punde

Meli mpya ya Azam Sealink 2 yawasili leo

Meli Mpya ya Kampuni ya Azam Marine ya  Azam Sea Link 2 ikiwa  katika bahari ya Zanzibar ilipowasili Zanzibar jana kama inavyoonekana ikiwa katika eneo la bahari ya forodhani ikitia naga kusubiri taratibu za kisheria kuaza kutoa huduma ya usafiri wa mizigo na abiria kati ya Unguja, Pemba na Dar es Salaam.
Meli mpya na ya kisasa iitwayo AZAM SEALINK 2 aina ya RORO yenye uwezo wa kubeba abiria wapatao 1650, mizigo uzito wa tani 717, sambamba na magari 150 imewasili leo Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.