Habari za Punde

Mitaa Maarufu katika Mji Mkongwe wa Zenj.

Ijuwe Mitaa uliokuwa maarufu katika mji mkongwe wa Zanzibar ambo kwa sasa baadhi ya vizazi vya leo hawaijui mitaa hiyo kwa kupotea majina yake ya asili na kutotajwa kwa wakaazi wa maeneo hayo kama unavyoonekana mtaa huu uliokuwa maarufu enzi hizo na kuwa na duka la maziwa ya ngombe uliokuwa ukijulikana kwa jina la mtaa wa Mchamba wima jirani ya iliokuwa sinema ya Empire mkunazini kwa sasa huwezi kulisikia jina hili na majina mengine katika mitaa ya zanzibar. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.