Habari za Punde

Ufunguizi wa Kongamano la Asasi za Kiraiac Zanzibar Lililoandaliwa na ZANSASP na EU. Kwa Viongozi wa Asasi za Kiraia Zanzibar


Mjumbe wa Kamati ya Maandalizi ya Kongamano la Asasi za Kiraia Zanzibar, Bi Munira Humoud akitowa maelezo kabla ya ufunguzi wa Kongamanio hilo lililowashirikisha Viongozi wa Asasi zac Kiraia za Unguja na Pemba linalofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar lililoandaliwa na Mradi wa ZANSAP kwa Ufadhili wa EU na usimamizi wa Wizara ya Fedha Zanzibar. 
Afisa wa EU Governance Programme Manager Vania Bonalberti akizungumza wakati wa Kongamano hilo la Asasi za Kiraia Zanzibar linalofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar na kutowa maelezo ya lengo la Mradi huo kwa washiriki wa Kongamano hilo.
Washiriki wa Kongamano hilo wakifuatilia taarifa zinazoweakulishwa na wahusika wakiwa katika ukumbi wa mkutano hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.
Mgeni Rasmin wa Ufunguzi wa Kongamano la Asasi za Kiraia Zanzibar Dr. Issa Haji Ziddy, Mkuu wa Kitivo cha Sayansi Jamii na Taalum za Lugha Chuo Kikuu cha Zanzibar SUZA. akihutubia wakati wa ufunguzi huo wa Kongamano hilo na kuwataka kujufunza kupitia kongamano hilo ili kuongeza ufanisi katika Asasi zao wanaporudi katika taasisi zao kutumia elimu waliopata.   
Washiriki wa Kongamano wa Asasi za Kiraia Zanzibar wakimsikiliza mgeni rasmin wakati wa ufunguzi huo uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.



No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.