Habari za Punde

Ufungaji wa Kongamano la Asasi za Kirais Zanzibar.

Mwenyekiti wa Kamati wa Kongamano Bi Munira akisoma maadhimisho ya Kongamano la Siku Pili la Asasi za Kirais lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar na kushirikisha Viongozi wa Asasi za Kirai 150 wa Unguja na Pemba lililoandalia wa ZANSASP.







No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.