Habari za Punde

Rais Dk Sheni aweka jiwe la msingi ujenzi wa Verde - Marine Hotel

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akisalimiana na Mwenyekiti wa Bakhresa Group of Companies   Bw.Said Salim Bakhresa mara alipowasili kuweka jiwe la msingi leo ujenzi wa Hoteli ya kisasa yenye hadhi ya nyota 5 VERDE-MARINE HOTEL, Mtoni Mjini Magharibi inayojengwa na Kampuni ya Bakhresa Group of Companies ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 03/01/2017. 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akifungua pazia kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa  Hoteli ya kisasa yenye hadhi ya nyota 5 VERDE-MARINE HOTEL, Mtoni Mjini Magharibi leo inayojengwa na Kampuni ya Bakhresa Group of Companies ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar,(wa pili kulia)Salim Azizi Mwakilishi wa Bakhresa Group of Companies [Picha na Ikulu.] 03/01/2017. 

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipeana mkono wa shukurani na Mwenyekiti wa Bakhresa Group of Companies   Bw.Said Salim Bakhresa (kulia) baada ya  uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa hoteli ya kisasa yenye hadhi ya nyota 5 VERDE-MARINE HOTEL Mtoni Mjini Magharibi leo, inayojengwa na kampuni ya ujenzi ya Bakhresa Group of Companies,ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 03/01/2017.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt,Khalid Salum Mohamed (wa pili kushoto) na Mwenyekiti wa Bakhresa Group of Companies   Bw.Said Salim Bakhresa (wa  pili kulia)   baada ya  uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa Hoteli ya kisasa yenye hadhi ya nyota 5 VERDE-MARINE HOTEL Mtoni Mjini Magharibi leo, inayojengwa na kampuni ya ujenzi ya Bakhresa Group of Companies,ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 03/01/2017.

 Baadhi ya Viongozi wakiwa katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi Hoteli ya kisasa yenye hadhi ya nyota 5 VERDE-MARINE HOTEL Mtoni Mjini Magharibi leo, inayojengwa na kampuni ya ujenzi ya Bakhresa Group of Companies,ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 03/01/2017.

 Baadhi ya watendaji wa Bakhresa Group of Companies wakiwa katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi Hoteli ya kisasa yenye hadhi ya nyota 5 VERDE-MARINE HOTEL Mtoni Mjini Magharibi leo, inayojengwa na kampuni ya ujenzi ya Bakhresa Group of Companies,ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 03/01/2017
 Mwakilishi wa Companyes Mtoni Marine Salim Azizi alipokuwa akitoa maelezo ya Ujenzi wakati wa hafla ya  uwekaji wa jiwe la msingi VERDE-MARINE HOTEL itakayokuwa na hadhi ya Nyota 5 ikiwa ni katika shamra shamra za Miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,ujenzi huo umewekwa jiwe la msingi leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.]03/01/2017.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Mwakilishi wa Companyes Mtoni Marine Salim Azizi baada ya kutoa maelezo ya mafupi ya Ujenzi VERDE-MARINE HOTEL wakati wa hafla ya  uwekaji wa jiwe la msingi Hoteli hiyo leo,itakayokuwa na hadhi ya Nyota 5 ikiwa ni katika shamra shamra za Miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.]03/01/2017.

 Waziri wa Fedha na Mipango Dkt,Khalid Salum Mohamed (kushoto) alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kuzungumza na Wananchi na Viongozi wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi leo,ujenzi wa Hoteli ya kisasa yenye hadhi ya nyota 5 VERDE-MARINE HOTEL Mtoni Mjini Magharibi  inayojengwa na kampuni ya ujenzi ya Bakhresa Group of Companies,ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 03/01/2017.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Wananchi na Viongozi wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi aliouweka leo,ujenzi wa Hoteli ya kisasa yenye hadhi ya nyota 5 VERDE-MARINE HOTEL Mtoni Mjini Magharibi  inayojengwa na kampuni ya ujenzi ya Bakhresa Group of Companies,ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar,Waziri wa Fedha na Mipango Dkt,Khalid Salum Mohamed (kushoto)na Mwenyekiti wa Bakhresa Group of Companies Bw.Said Salim Bakhresa (kulia), [Picha na Ikulu.] 03/01/2017. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Wananchi na Viongozi wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi aliouweka leo,ujenzi wa Hoteli ya kisasa yenye hadhi ya nyota 5 VERDE-MARINE HOTEL Mtoni Mjini Magharibi  inayojengwa na kampuni ya ujenzi ya Bakhresa Group of Companies,ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar,  Mwenyekiti wa Bakhresa Group of Companies Bw.Said Salim Bakhresa (kulia), [Picha na Ikulu.] 03/01/2017.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.