Baadhi ya Vijana wa Chama cha Mapinduzi CCM, Wilaya ya Mkoani,wakimskiliza Mjumbe wa Kamati kuu na mnadhimu wa Chama hicho , AliSalim Haji, akiwahutubia mara baada ya kumaliza Usafi katika Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani ikiwa ni shamra shamra za miaka 40 ya kuzaliwa chama cha Mapinduzi.

Naibu Waziri wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar , Harusi Said Suleiman, akijumuika na Ofisa Mdhamini Afya, Wafanyakazi wa Hospitali ya Abdalla Mzee , Mkoani Pemba katika kufanya usafi
Mjumbe wa Kamati kuu na mnadhimu wa chama cha Mapinduzi , Ali Salum Haji, akifanya usafi katika moja ya chumba cha Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani , ikiwa ni shamra shamra ya miaka 40 ya kuzaliwa CCM.
Naibu Waziri wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar , Harusi Said Suleiman, akiwa na Bero la Taka baada ya kufanya usafi katika Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani , ikiwa ni shamra shamra za miaka 40 ya kuzaliwa CCM.
Picha na Habiba Zarali -Pemba.
No comments:
Post a Comment