Habari za Punde

Wanahabari wafundwa katika mafunzo yaliyoandaliwa na Internews, Mikocheni Dar

  MWANDISHI nguli na Katibu wa Jukwaa la wahariri Tanzania ‘TEF’ Neville Meema, akiwasilisha mada ya nafasi ya vijana katika vyombo vya habari, kwenye mafunzo hayo ya siku tatu yalioanyika Mikocheni jijini Dar-es Salaam ambayo yameandaliwa na Internews Tanzania, (Picha na Haji Nassor, Dar-es Salaam).
 WAANDISHI wa habari kutoka vyombo mbali mbali Tanzania bara na Zanzibar, waliohudhuria mafunzo ya jinsia na vijana, yalioandaliwa na Internews na kufanyika Mikocheni jijini Dar-es Salaam, (Picha na Haji Nassor, Dar-es Salaama).

MWANDISHI wa habari na mhariri wa habari za ‘online kutoka TBC Leah Mushi akielezea uzoefu wake wa kuandika habari za jinsia na mazingira, kwa waandishi wa habari kwenye mafunzo ya jinsia na vijana yalioandaliwa na Internews na kufanyika Mikocheni jijini Dar-es Salaam, (Picha na Haji Nassor, Dar-es Salaam).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.