Mjumbe Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Waziri Mhe.Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda kwenye Kituo cha Mikutano cha Dodoma Dodoma convetion Center) , Februari 5, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Anne Kilango, Mbunge wa Kuteuliwa na Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu John Malecela (katikati) katika Maadhimisho ya Miaka 40 ya CCM yaliyofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Dodoma (DODOMA CONVETION CENTER)
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwasalimia wana CCM walioshiriki katika Maadhimisho ya Ndani ya Miaka 40 ya CCM yaliyoandaliwa na Mkoa wa Dodoma kwenye Kituo cha Mikutano cha Dodoma (Dodoma Convention Center)
Baadhi ya washiriki wa Maadhimisho ya Ndani ya Mikaka 40 ya CCM yaliyoandaliwa na CCM mkoa wa Dodoma wakimpungia Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipowasalimia kwenye Kituo cha Mikutano cha Dodoma (DODOMA CONVENTION CENTER), Februari 5, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment