Habari za Punde

Dimwa awasilisha hoja binafsi kuhusu madawa ya kulevya Baraza la Wawakilishi

Mwakilishi wa jimbo la Mpendae Mohammed Said Dimwa akizungumza na Mwakilishi wa jimbo la Jang'ombe Ali Salum nje ya baraza la wawakilishi baada ya kuwasilisha hoja binafsi kuhusiana na dawa za kulevya

(Picha Na Rahma Suleiman, Zanzibar)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.