Habari za Punde

Harakati za Biashara Katika Marikiti Kuu ya Darajani Zanzibar.

Wananchi wa Mji wa Zanzibar wakiwa katika harakati za kujipatia mahitaji yao katika Marikiti Kuu ya Darajani Zanzibar kwa kupata bidhaa mbali mbali zinazopatika na katika marikiti hiyo, eneo hilo ni maalumu kwa Soko la jioni kutowa huduma hiyo kwa wananchi kujipatia bidhaa wakati huo. 
Mjasiriamali katika marikiti kuu ya darajani akipanga bidhaa yake ya tangawizi kwa ajili ya wateja wake wanaofika katika marikiti hiyo vungu moja huuza shilini 500/- kwa vubgu dongo na kubwa huuzwa shilingi 1000/- 
Wafanyabiashara katika marikiti hiyo ya jioni wakishusha bidhaa zao kwa ajili ya kuziuza katika eneo hilo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.