Habari za Punde

Jumuiya ya Haki Jamii ( HAJA) yatoa mafunzo ya athari za udhalilishaji wa kijinsia kwa wanafunzi wa Skuli ya Chanjamjawiri

 Mwanachama wa Jumuiya ya Haki Jamii Ali Maisara Kombo akitoa mafunzo kwa kuonyesha athari za udhalilishaji na ukatili wa kijinsia kwa watoto katika skuli ya Chanjamjawiri jana ,mafunzo ambayo yameandaliwa na jumuiya hiyo( HAJA)
(Picha na Salmin Juma)
 Wapili kutokea upande wa kushoto ni mwalimu Ali Maisara Kombo akiwa na viongozi wa wanafunzi wa skuli ya Chanjamjawiri sokondari wakiwa makini kufatilia mchakato wa mafunzo ya udhalilishaji wa kijinsia yaliyofanyika jana huko katika skuli ya chanjamjawiri ,mafunzo yaliyoaandaliwa na jumuiya ya Haki Jamii.
(Picha na Salmin Juma)
 Msaidizi katibu wa jumuiya ya Haki Jamii ndg: Issa Ali Khamis akiwaasa wanafunzi wa skuli ya chanjamjawiri juu ya madhara yatokanayo na matendo ya udhalilishaji wa kijinsia ,katika mafunzo yaliyoandaliwa na jumuiya ya HAJA na yalifanyika jana katika skuli ya chanjamjawiri.
(Picha na Salmin Juma
 Mwanafunzi Ruwaida Hemed Sultan wa kidato cha kwanza wa skuli ya Chanjamjawiri akionyesha kufurahika mno na mafunzo waliyopatiwa ya athari za udhalilishaji wa kijinsia na jumuiya ya HAJA,mafunzo waliyopatiwa jana katika skuli yao.
(Picha na Salmin Juma)
 Ahmed Daoud  mwanafunzo wa kidato cha kwanza skuli ya Chanjamjawiri  akichukua maelezo waliyokua wakipatiwa na jumuiya ya HAJA juu ya mada za udhalilishaji na madhara yake,mafunzo yaliyofanyika jana kwa wanafunzi wa skuli ya Chanjamjawiri.
(Picha na Salmin Juma
 Baadhi ya wanafunzi wa skuli ya sekondari Chanjamjawiri wakiwa katika uwanja maalum kwa kupokea mafunzo ya athari za udhalilishaji wa kijinsia ,mafunzo yaliyo andaliwa na kutolewa na jumuiya ya HAJA jana kwa  wanafunzi wa skuli hiyo.

3 comments:

  1. Inapendeza zana kuna jumuiya ya HAJA ikitoa elemu kwa wanafunzi juu ya athari za udhalilishaji hii itasaidia kupunguza vitenda hivi vya uzalilishaji kwa jamii yetu ya chanjamjawiri na kisiwani Pemba na taifa kwa ujumla.....

    ReplyDelete
  2. Kwa kweli hakijamii, inafanya makubwa katika harakati za kuelimisha jamii katika mambo mazuri, Naipenda haki jamii kwa kweli, naipenda Zanzinews bwana

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.