Mwanachama wa Jumuiya ya Haki Jamii
Ali Maisara Kombo akitoa mafunzo kwa kuonyesha athari za udhalilishaji na
ukatili wa kijinsia kwa watoto katika skuli ya Chanjamjawiri jana ,mafunzo
ambayo yameandaliwa na jumuiya hiyo( HAJA)
(Picha na Salmin Juma)
Wapili kutokea upande wa kushoto ni
mwalimu Ali Maisara Kombo akiwa na viongozi wa wanafunzi wa skuli ya
Chanjamjawiri sokondari wakiwa makini kufatilia mchakato wa mafunzo ya
udhalilishaji wa kijinsia yaliyofanyika jana huko katika skuli ya chanjamjawiri
,mafunzo yaliyoaandaliwa na jumuiya ya Haki Jamii.
(Picha na Salmin Juma)
Msaidizi katibu wa jumuiya ya Haki
Jamii ndg: Issa Ali Khamis akiwaasa wanafunzi wa skuli ya chanjamjawiri juu ya
madhara yatokanayo na matendo ya udhalilishaji wa kijinsia ,katika mafunzo
yaliyoandaliwa na jumuiya ya HAJA na yalifanyika jana katika skuli ya
chanjamjawiri.
(Picha na Salmin Juma
Mwanafunzi Ruwaida Hemed Sultan wa
kidato cha kwanza wa skuli ya Chanjamjawiri akionyesha kufurahika mno na
mafunzo waliyopatiwa ya athari za udhalilishaji wa kijinsia na jumuiya ya
HAJA,mafunzo waliyopatiwa jana katika skuli yao.
(Picha na Salmin Juma)
Ahmed Daoud mwanafunzo wa kidato cha kwanza skuli ya
Chanjamjawiri akichukua maelezo
waliyokua wakipatiwa na jumuiya ya HAJA juu ya mada za udhalilishaji na madhara
yake,mafunzo yaliyofanyika jana kwa wanafunzi wa skuli ya Chanjamjawiri.
(Picha na Salmin Juma
Baadhi ya wanafunzi wa skuli ya
sekondari Chanjamjawiri wakiwa katika uwanja maalum kwa kupokea mafunzo ya athari
za udhalilishaji wa kijinsia ,mafunzo yaliyo andaliwa na kutolewa na jumuiya ya
HAJA jana kwa wanafunzi wa skuli hiyo.
(Picha na Salmin Juma)
Baadhi ya wanafunzi wa skuli ya
sekondari Chanjamjawiri wakiwa katika uwanja maalum kwa kupokea mafunzo ya athari
za udhalilishaji wa kijinsia ,mafunzo yaliyo andaliwa na kutolewa na jumuiya ya
HAJA jana kwa wanafunzi wa skuli hiyo.
(Picha na Salmin Juma)
Baadhi ya wanafunzi wa skuli ya
sekondari Chanjamjawiri wakiwa katika uwanja maalum kwa kupokea mafunzo ya athari
za udhalilishaji wa kijinsia ,mafunzo yaliyo andaliwa na kutolewa na jumuiya ya
HAJA jana kwa wanafunzi wa skuli hiyo.
(Picha na Salmin Juma)
Inapendeza zana kuna jumuiya ya HAJA ikitoa elemu kwa wanafunzi juu ya athari za udhalilishaji hii itasaidia kupunguza vitenda hivi vya uzalilishaji kwa jamii yetu ya chanjamjawiri na kisiwani Pemba na taifa kwa ujumla.....
ReplyDeleteKwa kweli hakijamii, inafanya makubwa katika harakati za kuelimisha jamii katika mambo mazuri, Naipenda haki jamii kwa kweli, naipenda Zanzinews bwana
ReplyDeleteZanzinews muko juu
ReplyDelete