Habari za Punde

Mnakumbukumbu ya Gari Hizi Zilizokuwa Zikitumiwa Zanzibar katika Miaka Gani

Wadau Mna Kumbukumbu ya matumizi ya gari hizi zilizokuwa zikitumika katika Visiwa vya Zanzibar katika miaka gani na aina ya gari hizi zilikuwa maarufu kwa usafiri wa TAXI katika manispa na Vitongoji Vyake Kazi kwenu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.