Wananchi wa Mji wa
Wete, wakifuatilia kwa makini vichwa vya habari kutoka katika magazeti mbali
mbali yanayofika Kisiwani Pemba, kama walivyokutwa katika duka lia kuuzia
magazeti Wete
KUKOSEKANA kwa maeneo
maalumu ya kuuzia biashara za nguo za mitumba katika maeneo ya Wete, pichani
wafanya biashara wa nguo hizo wakifanya biashara katika maeneo yasiyokuwa rasmi
katika mtaa wa Muembe Kigongo Wete
MITI ya aina mbali mbali iliyoatikwa na wanakaya masikini shehia
ya Fundo, ikiwa na lengo la kurudisha haiba ya miti mikubwa iliyotoweka
Kisiwani Pemba.
(PICHA NA ABDI SULEIMAN,
PEMBA.)
No comments:
Post a Comment