Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Balozi
wa China hapa nchini Dkt. Lu You qing mara baada ya kuweka jiwe la Msingi
katika Kiwanda kikubwa cha kutengeneza Vigae(Tiles ) cha Good Will kilichopo
katika kijiji cha Mkiwa, Mkuranga mkoani Pwani. Kiwanda hicho kitakuwa na uwezo
wa kuzalisha vigae laki nane kwa siku na mwekezaji ametumia zaidi ya Dola mil.50
katika uwekezaji huo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo
wakati akihutubia kabla ya kuweka jiwe la Msingi katika Kiwanda kikubwa cha kutengeneza
Vigae(Tiles ) cha Good Will kilichopo katika kijiji cha Mkiwa, Mkuranga mkoani
Pwani.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza maelezo
kutoka kwa Mwakilishi wa Kiwanda hicho cha y Vigae cha Good Will, Huang Heng
Chao kutoka kwa Kiwandani hapo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa anapata
maelezo kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo kuhusu
matumizi ya Gesi katika Kiwanda cha Vigae cha Good Will kutoka kwa Kiwandani
hapo
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi
wa Somanga mkoani Lindi wakati akiwa ziarani lkuelekea mikoa ya Kusini(Lindi na
Mtwara).
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mbunge
wa Kilwa Kusini Suleiman Bungara(Bwege ) kutoka CUF katika eneo la Nangulukulu,
Kilwa mkoani Lindi wakati akiwa katika ziara ya mikoa ya kusini.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi
wa Nangulukulu mkoani Lindi.
Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo Nape Nnauye akifurahia hotuba iliyokuwa ikitolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika eneo la Nangulukulu mkoani Lindi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo Nape Nnauye mara baada ya kuhutubia
wananchi wa Nangulukulu mkoani Lindi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimian na
mbunge wa Kilwa Kaskazini Vedasto Ngombale (CUF) mara baada ya kuhutubia
wananchi wa Nangulukulu mkoani Lindi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
wananchi mara baada ya kuhutubia wananchi wa Nangulukulu mkoani Lindi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpatia msaada wa
Shilingi milioni moja kijana Abdulrahman Khalid ambaye ni mlemavu wa miguu
katika eneo la Mchinga-1 mkoani Lindi, Katikati(Mwenye shati la maua) ni Mbunge
wa Mchinga Hamidu Bobali kupitia chama cha (CUF) ambaye ameahidi kumpatia
mlemavu huyo kiasi cha Shilingi Milioni moja pia.PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment