Habari za Punde

Naibu Katibu Mkuu UVCCM alipotembelea Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani

 NAIBU katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar Abdullghafar Idrisa Juma, akimjulia hali kijana mmoja aliyepata ajali na kuumia mguu, wakati alipotembelea Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani, katika ziara yake ya siku nne Kisiwani Pemba, kuangalia utekelezaji wa Ilani ya CCM.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)


NAIBU katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar Abdullghafar Idrisa Juma, akitoka kukagua maabara ya Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani, wakati wa ziara yake ya siku nne Kisiwani Pemba, kuangalia utekelezaji wa Ilani ya CCM.

(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.