Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiwa na Mhe, Airlangga Hartarto miongoni mwa Viongozi wakuu Nchini Indonesia pamoja na Viongozi wa wengine wa Nchi hiyo pia akiwepo na Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi Mhe, Hamad Rashid Mohamed (kulia) alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Nchi Indonesia,Rais Shein anamuwakilisha Rais John Pombe Magufuli katika Mkutano wa Jumuiya ya Nchi zinazopakana na Bahari ya Hindi IORA Nchini Indonesia, [Picha na Ikulu.] 05/3/2017.
CHAN 2024 : Dar Kuzizima Ufunguzi wa CHAN24
-
Na Rahel Pallangyo
ARDHI ya Tanzania kwenye mji wenye pilikapilika, Dar es Salaam Agosti 2,
mwaka huu katika Uwanja wa Benjamin Mkapa utashuhudiwa uf...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment