Habari za Punde

Rais wa Zanzibar Dk Shein katika ufunguzi wa Michezo ya Majeshi Tanzania Uwanja wa Aman Zanzibar Leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa Serikali wakipokea heshima wakati wa Wanamichezo wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama vikipita mbele yake kutowa heshima wakati wa uzinduzi wa Michuano ya Majeshi yaliofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar.kulia Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali V.S Mabeyo na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dk Hussein Ali Hassan Mwinyi.  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa Serikali wakipokea heshima wakati wa Wanamichezo wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama vikipita mbele yake kutowa heshima wakati wa uzinduzi wa Michuano ya Majeshi yaliofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar.kulia Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali V.S Mabeyo na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dk Hussein Ali Hassan Mwinyi na Mwenyekiti wa BAMMATA Brigedia Jenerali M A Kemwaga..  
Vikosi vya Ulinzi vya Wanamichezo wa Michezo ya Majeshi Tanzania wakipita mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein, wakati wa ufunguzi wa michezo hiyo uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar. 
Wanamichezo Kanda ya JKT wakitowa heshima mbele ya Rais wa Zanzibar Dk Shein.wakati wa ufunguzi wa michezo hiyo ya Majeshi ya 17 ya Majeshi ya Ulinzi na Usalama na Idara Maalum za SMZ. 
Wanamichezo Kanda ya JKT wakitowa heshima mbele ya Rais wa Zanzibar Dk Shein.wakati wa ufunguzi wa michezo hiyo ya Majeshi ya 17 ya Majeshi ya Ulinzi na Usalama na Idara Maalum za SMZ.
Wanamichezo Kanda ya Polisi wakitowa heshima mbele ya Rais wa Zanzibar Dk Shein.wakati wa ufunguzi wa michezo hiyo ya Majeshi ya 17 ya Majeshi ya Ulinzi na Usalama na Idara Maalum za SMZ.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, na Viongozi wa Serikali na Vikosi vya Ulinzi na Usalama Tanzania wakipokea heshima za Wanamichezo wakati wa Ufunguzi wa michezo hiyo yaliofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
Wanamichezo Kanda ya Uhamiaji wakitowa heshima mbele ya Rais wa Zanzibar Dk Shein.wakati wa ufunguzi wa michezo hiyo ya Majeshi ya 17 ya Majeshi ya Ulinzi na Usalama na Idara Maalum za SMZ. 
Wanamichezo Kanda ya Zimamoto wakitowa heshima mbele ya Rais wa Zanzibar Dk Shein.wakati wa ufunguzi wa michezo hiyo ya Majeshi ya 17 ya Majeshi ya Ulinzi na Usalama na Idara Maalum za SMZ. 
Wanamichezo wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama wakisimama wakati ukiimbwa wimbo wa Taifa wakati wa ufunguzi wa Michezo ya Majeshi Tanzania katika Uwanja wa Amaan Zanzibar.

Wanamichezo wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama wakiimba wimbo maalum wa ufunguzi wa michezo hiyo ya 17 ya Majeshi Tanzania katika uwanja wa Amaan Zanzibar. 
Wanamichezo wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama wakiimba wimbo maalum wa ufunguzi wa michezo hiyo ya 17 ya Majeshi Tanzania katika uwanja wa Amaan Zanzibar. 
Mwenyekiti wa BAMMATA  Brigedia Jenerali M.A Kemwaga akizungumzia michuano hiyo ya 17 ya Michezo ya Majeshi Tanzania wakati wa ufunguzi wake uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohanmed Shein, yaliofanyika katika uwanja wa amaan Zanzibar. 
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali V.S.Mabeyo akizungumza wakati wa ufunguzi wa Michezo hiyo ya 17 ya Majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania na Idara Maalum za SMZ. 
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe Dk. Hussuin Ali Hassan Mwinyi akizungumza wakati wa ufunguzi wa Michezo ya Majeshi Tanzania BAMMATA uzinduzi huo umefanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akihutubia wanamichezo ya Michezo ya 17 Majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania. Uzinduzi huo umefanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar. 

Baadhi ya Viongozi wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Tanzania wakiwa katika jukwaa kuu wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akifungua michezo hiyo ya Majeshi Tanzania katika uwanja wa Amaan Zanzibar. 
Baadhi ya Washiriki wa michezo ya Majeshi Tanzania wakiwa katika uwanja wa Amaan Zanzibar wakati wa ufunguzi wa michezo hiyo. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.