Habari za Punde

Yaliojiri Mazishi ya Marehemu Abdallah Khelef Shauiri Mjaka (DULLA) Nchini Norway Jumamosi 27-2-2017 Katika Makaburi ya Kiislam Skonger.

 Mtoto wa Marehemu Abdallah Khelef Shauri (Dullah) Sofia Abdallah Khelef akiwa na shada la maua akijiandaa kuweka katika kaburi la Baba yake akiongozwa na Mama yake mzazi, maziko hayo yamefanyika Nchini Norway Jumamosi 27-2-2017 katika makaburi ya Kiislam Skonger na kuhudhuriwa na Watanzania wanaoishi norway na marafiki kutoka jirani na nchini hiyo waliwezav kuhudhuria mazishi hayo yaliofanyika kwa taratibu zote za kisheria ya kiislam Mwenyezi Mungu ailaze pema peponi roho ya marehemu ameen.
 Mtoto wa marehemu akiweka shada la maua katika kaburi la baba ake. 





No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.