Habari za Punde

Kijana Kombo Makame Omar Akitowa Ushuhuda wa Ajali Hiyo ya Moto Uliopoteza Familia ya Watu Watatu Katika Kijiji cha Shumba Mjini Wilaya ya Micheweni Pemba Wakati Alipotembelea na Kufarijiwa na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, Ajali hiyo Imetokea 21-3-2017. Anaendelea Vizuri Baada ya Kupata Matibabu Hospitalini Hapo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.