Habari za Punde

Maadhimisho ya miaka 53 ya muungano wa Tanzania uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma leo


 Vikosi vya Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ,pamoja na Wananchi mbali mbali wa Mji wa Dodoma wakiwa katika Uwanja wa Jamhuri,wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 53 ya Muungano wa Tanzania zilizofanyika leo,Mgeni rasmi akiwa  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Johna Pombe Magufuli [Picha na Ikulu.] 26/04/2017

 Baadhi ya Wananchi waliohudhuria katika sherehe za maadhimisho ya miaka 53 ya Muungano wa Tanzania katika Uwanja wa Uhuru zilizofanyika leo,ambapo Mgeni rasmi akiwa  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Johna Pombe Magufuli,[Picha na Ikulu.] 26/04/2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Johna Pombe Magufuli akiwa katika Gari maalum na kuwapungia mkono Wananchi mbali mbali wa Mji wa Dodoma wakati wa sherehe za miaka 53 ya Muungano wa Tanzania zilizofanyika leo katika Uwanja wa Jamhuri,[Picha na Ikulu.]26/04/2017
  Baadhi ya viongozi waliohudhuria katika sherehe za maadhimisho ya miaka 53 ya Muungano wa Tanzania katika Uwanja wa Uhuru zilizofanyika leo,ambapo Mgeni rasmi akiwa  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Johna Pombe Magufuli,[Picha na Ikulu.] 26/04/2017
 Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein  wakati akiwasili kuhudhuria sherehe za maadhimisho ya miaka 53 ya Muungano wa Tanzania katika Uwanja wa Uhuru zilizofanyika leo,ambapo Mgeni rasmi akiwa  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Johna Pombe Magufuli,[Picha na Ikulu.] 26/04/2017
   Baadhi ya vikosi vya ulinzi na usalama vilivyohudhuria katika sherehe za maadhimisho ya miaka 53 ya Muungano wa Tanzania katika Uwanja wa Uhuru zilizofanyika leo,ambapo Mgeni rasmi akiwa  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Johna Pombe Magufuli,[Picha na Ikulu.] 26/04/2017No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.