Habari za Punde

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Shein Azindua Mradi wa Gari za Abiria Jimbo la Mfenesini Zilizotolewa na Mbunge Col. Mstaaf Masoud Khamis Kwa Wananchi wa Jimbo Hilo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar  Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono wanaCCM wa Jimbo la Mfenesini wakati alipowasili katika  viwanja vya Z. Ocean Hoteli  iliyopo Kihinani Jimbo la Mfenesini Wilaya ya Magharibi leo katika sherehe za Uzinduzi wza Mradi wa Gari nane(8) za CCM  zilizotolewa na Mbunge wa jimbo hilo Col.Mstaafu Masoud Khamis,ikiwa ni ahadi ya  kwa Wananchi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar  Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na  Mbunge wa Jimbo la Mfenesini  Mhe.Col.Mstaafu Masoud Khamis alipowasili  katika viwanja vya   Z. Ocean Hoteli  iliyopo Kihinani Jimbo la Mfenesini leo katika sherehe za Uzinduzi wa Mradi wa Gari nane (8) za Chama cha Mapinduzi CCM ikiwa ni ahadi ya Mbunge wa jimbo hilo
Gari nane (8) aina ya Dyna  zilizonunuliwa na Mbunge wa Jimbo la Mfenesini  Mhe.Col.Mstaafu Masoud Khamis ambazo leo amezikabidhi kwa Chama cha Mapinduzi CCM zitakazotumika na kutoa huduma katika Matawi ya Chama cha CCM katika jimbo hilo,ambazo zimegharimu jumla ya shilingi za kitanzania Millioni Mia moja na Tisiini na Mbili
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar  Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mradi wa Gari Nane(8) ya CCM aina ya Dyna ikiwa ni ahadi ya Mbunge wa  CCM wa Jimbo la Mfenesini Col.Mstaafu Masoud Khamis (wa pili kulia) katika viwanja vya Z. Ocean  Hotel iliyopo kihinani Wilaya ya Magharibi Jimbo la Mfenesini leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar  Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akipokea kadi za Gari Nane (8) aina ya Dayna ambazo Rais amezindua Mradi huo wa CCM zitakazotumika  katika Matawi ya Chama Jimbo la Mfenesini,Gari hizo ini ahadi aliyoitoa  Mbunge Mhe.Col.Mstaafu Masoud Khamis katika ukumbi wa Hoteli ya Z. Ocean iliyopo kihinani Jimbo la Mfenesini leo katika sherehe Jimboni humo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar  Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein  alipokuwa akitoa hutuba yake wakati  sherehe ya Uzinduzi wa Mradi wa Gari 8 za Chama cha Mapinduzi CCM zilizotolewa na Mbunge wa Jimbo la Mfenesini Col.Mstaafu Maoud Khamis ikiwa ni ahadi yake aliyoitoa kwa jimbo,hafla hiyo ilifanyika leo katika ukumbi wa Z.Ocean Kihinani Wialaya nya Magharibi Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar  Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein  alipokuwa akitoa hutuba yake wakati  sherehe ya Uzinduzi wa Mradi wa Gari 8 za Chama cha Mapinduzi CCM zilizotolewa na Mbunge wa Jimbo la Mfenesini Col.Mstaafu Maoud Khamis ikiwa ni ahadi yake aliyoitoa kwa jimbo,hafla hiyo ilifanyika leo katika ukumbi wa Z.Ocean Kihinani Wialaya nya Magharibi Unguja, [Picha na Ikulu] 23/o4/2017.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.