Habari za Punde

Mkutano mkuu wa ZFA wafanyika Pemba

RAIS wa chama cha Soka zanzibar (ZFA) Ravia Idarous Faina akifungua mkutano mkuu wa ZFA uliofanyika Kisiwani Pemba, hivi karibuni na kuwafukuza Maalim Massoud Attai na Hussein Ali Ahmada.
 WAJUMBE wa Mkutano mkuu wa ZFA Taifa wakiwa katika Picha ya pamoja mara baada ya kumalizika kwa mkutano huo katika ukumbi wa uwanja wa michezo Gombani.
 VIONGOZI wa Umoja wa Vilabu Zanzibar wakiw akatika picha ya pamoja, mara baada ya kumalizika kwa mkutano mkuu wa ZFA Taifa Uliofanyika Kisiwani Pemba.
 RAIS wa ZFA Ravia Idarous Faina akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa ZFA Taifa na Wilaya zake pamoja na viongozi wa umoja wa Vilabu.
VIONGOZI mbali mbali wa ZFA wakiwa katika picha za pamoja wakiongozwa na Rais wa Chama hicho Ravia Idarous Faina, mara baada ya kumalizika kwa mkutano mkuu wa Chama hicho uliofanyika Kisiwani Pemba.

Picha na Abdi Suleiman, Pemba

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.