Habari za Punde

Mvua za masika zaneemesha biashara ya miche ya minazi kisiwani PembaBIASHARA ya Minazi katika kipindi hiki cha Mvua zinazoendelea Kisiwani Pemba, imekuwa maradufu ambapo mche mmoja huuzwa kati ya 2,500/= hadi shilingi 3,000/=, pichani gari aina ya keri ikiwa imepakia miche hiyo katika soko la Matunda Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.