Habari za Punde

Uzinduzi wa chanjo kwa watoto kitaifa


 MKUU wa Wilaya ya Mkoani Mhe:Hemed Suleiman Abdalla, akimpatia mtoto mchanga chanjo katika hospitali ya Mama wajawazito na watoto Gombani, katika uzinduzi wa Chanjo kwa watoto ya kitaifa kwa bara la Africa kila ifikapo Aprili 24 ya kila mwaka.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.