Habari za Punde

Madhara ya Mvua za Masika Kisiwani Zanzibar.

Wananchi katika mtaa wa shangani jirani na branchi ya shangani wakiangalia nyumba ilioanguka na baadhi ya ukuta huo kuangukia gari iliokuwa imeegeshwa jirani na jengo hilo lilikuwa halikaliwa na watu kwa muda mwingi 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.