Habari za Punde

Ijitimai ya Kimataifa Katika Kijiji cha Kidoti Mkoa wa Kaskazini Unguja.

Naibu Mufti wa Uganda Sheikh Ali Mohammed akizungumza na kutowa salamu za Wananchi na Waislam wa Uganda wakati wa Ijitimai ya Kimataifa inayofanyika katika Markaz Fis Sabillilah Katika Kijiji cha Kidoti Mkoa wa Kaskazini Unguja uliohudhuriwa na Waumini kutoka Nchi kumi zikiwemo za Afrika Mashari na USA, UK.
Naibu Mufti wa kutoka Nchini Malawi Sheikh Shaibu Ibrahim akitowa salamu zake na za wananchi wa Malawi na kutowa nasaha zake kwa Waumini wa Kiislam wakati wa Ijitimai ya Kimataifa inayofanyika katika Kijiji cha Kidoti Mkoa wa Kaskazini Unguja na kuhudhuriwa na waumini wengi wa Dini ya Kiislam kutoka Nchi za Afrika Mashariki.
Mwakilishi wa Jimbo la Mtoni Zanzibar Mhe. Hussein Ibrahim Makungu (BHAA) Aakitowa nasaha zake kwa Waumini wa Dini ya Kiislam kuzingatia mafunzo yanayotolewa na Masheikh wakati wa Ijitimai hii ya Kimataifa inayofanyika katika kijiji cha Kidoti Mkoa wa Kaskazini Unguja.
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.